Ni Nini Kinafanya Aegeses Kuwa ya Kipekee?

Usiri Kamili

Ulinzi wa kifaa chako unaimairishwa kupitia muunganyiko wa ulinzi wa kiteknolojia na kontena lililosimbwa.

Kutokujulikana Kabisa

Hakuna haja ya kutoa maelezo yoyote ya kibinafsi. Maelezo ya kuingia ya mtumiaji hayaonyeshwi pia; watumiaji wengine wanaona tu jina la hadharani unalochagua.

Usimbaji Kamili

Taarifa zote zinazohamishwa kutoka kwa mtumiaji mmoja hadi mwingine zimesimbwa kwa teknoljia bunifu za usimbaji. Msimbo wa utengenezaji programu hii uko wazi kufanyiwa uchambuzi wowote.

Takwimu ni Zako Pekee Yako

Data zote za mtumiaji zimesimbwa kwa nenosiri la kibinafsi. Nenosiri hili limehifadhiwa tu kwenye kifaa cha mtumiaji na hazitumiwi mahali pengine popote. Haiwezekani kudondoa nenosiri.

Ubadilishaji Kifaa Unahitaji Uthibitishaji

Ikiwa kifaa au sehemu yake yoyote, ikiwa ni pamoja na sim kadi, ni lazima mtumiaji atumie nenosiri ili kufikia kitumaji ujumbe.

Hakuna Udhibiti wa Serikali

Aegees ni shirika huru na linalojifadhili 100% bila serikali yoyote, wawakilishi wak ewala fedha za umma zinahusika.

Data Zako Kujiharibu Zenyewe

Data zote za kibinafsi katika programu hii zina uwezo wa kujiharibu zenyewe katika wakati teule ikiwa ndiyo mapenzi ya mtumiaji au zinaweza kuharibiwa papo hapo wakati wa jaribio la kufichua maelezo ya kuingia ya mtumiaji na nenosiri.

Seva Haziwezi Kufungwa

Muundo wa mfumo unahakikishia utendaji kamili wa programu hii katika nchi yoyote. Haiwezi kuzuiwa na serikali yoyote.

Hakuna Data Zinahifadhiwa Kwenye Seva

Seva za Aegees hazihifadhi ujumbe wala faili za watumiaji. Ujumbe wako upo kwenye kifaa chako pekee na programu inahitaji ruhusa chache zaidi na data chache zaidi za mtumiaji ili kufanya kazi.

Viwambo vya skrini

Aegees Inahakikisha Kwamba Mawasiliano Yako Yote ni Salama

Tuma Ujumbe Katika Mazungumzo na Mikutano
Piga Simu ya Sauti/Video
Shiriki Katika Mikutano ya Sauti/Video
Unda Mbinu za Kibinafsi
Tengeneza Na Uunganishe Roboti
Malipo Katika Programu Kwa Kutumia Kadi za Benki
Hifadhi Data za Siri Katika Kontena Lililosimbwa

Blogu Yetu

October 6th, 2020 12:02 pm 0

As a project evolves, so does its project management system — that’s especially true in software development, and even more so when…

October 6th, 2020 12:02 pm 0

The choice of these two countries for comparison is not random, and it is not a joke. The United States…

October 6th, 2020 11:59 am 0

A lot has been completed since the September release. We have made changes to our project management approach switching some…

Jisajili Kupokea Jarida Letu

Kitumaji Ujumbe cha Aegees cha 2018. Haki zote zimehifadhiwa.